Kwa watumiaji wa Windows Phone

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,371
4,847
Habari yenu ndugu wana jamii wenzangu .
Nilikua napenda kujuzwa kuhusu ukomavu WA store yetu sasa bhas kwa kua ulikua Changa je Kuna apps zozote zinazoongezeka ambazo pengine. Zinafunction muhimu kwa users Na weng wetu hawazijui ? Kama zipo tusaidiane kuzitaja lakini pia je nitawezaje kupata tvs Kama cinema zetu Na. Nyinginezo kwenye tvzzile kwani chief mkwawa alitupatia hiyo kitu Na inafanya kazi
 
Wadau hii platform bado cyo popular sana km android na ios hivyo tujuzane apps nzuri na games ambazo zinakufurahisha kwenye wp tukiacha hz common za social network km whatsap.
Mm naanza na flash sports hii kwa live streaming za sports haswa football league zote za ulaya na us ni kiboko maana hata km net iko poor unachagua quality ndogo game haikwami japo sio free bt unapewa weeks za trial
Tupia na yako unayoikubali wadau waitafte
 
Flash sport ikoje. mkuu inapatikana kwa. Store yetu hebu nielekeze
Ipo store mzaz chek hyo picture
wp_ss_20160420_0001.png
 
Mkuu hivi inawezekana kwel kuinstail app from other source zaidi ya store kwa windows phone?
yap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimu
 
Ndio tu
yap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimu
Ndio tupeane maelekezo ya kina ya namna ambayo tutaweza. Kufanya hiyo kitu kwani wengine ni wageni kwa hizo mambo
 
yap inawezekana ila mpaka simu iwe developer unlocked, download sdk halafu jisajili kama developer utaweza. kama unapenda kucheat games, app za bure, kumod vitu mbalimbali developer unlock ni muhimu
Dah ila kuwa developer ni risk sana mkuu niliua kilumia changi 625 mwaka jana baada ya kupata windows10 developer update nilipoishusha ilikaa cku chache sana ikawa haiwaki inaandika error fail to find the bootable option ndo ikawa mwisho wake
 
Back
Top Bottom