Prince_mandela
Senior Member
- Jul 29, 2016
- 167
- 117
Nahitaji kujua namna ya ki set whatsapp ili ukiwa online mtu asijue na ukisoma sms mtu asijue
Ndo maana akaja kuomba msaada uku ili asaidiwe kwan uyo prog google hajamuona?muulize prof google
Kwa whatsapp ya kawaida haiwezekan labda whatsapp plus au gb whatsapp cjui lkn ngoja waje wakushauri vzrNahitaji kujua namna ya ki set whatsapp ili ukiwa online mtu asijue na ukisoma sms mtu asijue
Sawa mkuu ngoja tusubirieKwa whatsapp ya kawaida haiwezekan labda whatsapp plus au gb whatsapp cjui lkn ngoja waje wakushauri vzr