Naombeni msaada wakuu

Naombeni msaada wakuu

Prince_mandela

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
167
Reaction score
117
Tablet yang ya tecno nikiwasha ina niandikia neno tecno afu hakuna kinacho endelea nimejaribu ku reset lakin bado inanigomea nisaidien jaman
 
in taratibu zake kama unashindwa onana na mafundi
 
elimura solutions iko posta
 
Tablet yang ya tecno nikiwasha ina niandikia neno tecno afu hakuna kinacho endelea nimejaribu ku reset lakin bado inanigomea nisaidien jaman
Na yangu pia inasumbua hivyohivyo mwanzoni nilipata shida nikpeleka kwa fundi baada ya hapo ilivyorudia tena huwa nabonyeza button ya kupuguza sauti na kuzima kwa pamoja ndio inawaka. Au naiacha mpk iishe chaji kabisa inajizima ndio nachaji upya na kuiwasha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom