Hivi namba za vocha za simu za kuongezea salio zinatengenezwa na programme gani?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Hapa JF hakuna kinachosindikana. Hebu wakubwa nijuze hivi hizi namba zinatengenezwa na programe ipi?

Naomba japo kwa ufupi juu ya utaalam huu.
 
Mkuu! Nakusihi usiguse hiyo chakula ya wenyewe TCRA wanalala kwa zamu kuchunga hiyo chakula. Ni nono mnooo!! Ngoja weledi waje yangu ni hayo tu.
 
hahaha dah kaka hata ukiipata ni bure maana hawa watu ni makini akwambie mtu. Wanaachia vocha kwa mda na mitambo yao ina detect haraka sana.

Mi nshwahi nunua vocha dar ambayo imetoka leo nilkua msafiri kufika mikoani naweka wananambia vocha hio haipo kuwakol wakanambia haiko kwenye system bado nisubiri. That mean wakiachia vocha dar si ya moshi wala arusha mpaka baada ya muda flani

mi nafkiri si technology kubwa inayotumika ni just machine yakutoa random number ila usiri ndo mkubwa

lets say tigo wana no 12 za vocha na kila vocha ya buku yaanza na 27 inamaana watakiwa uguess no kumi tu ambz ni sawa na bilion 1 na tigo wanatoa vocha kama million kwa siku but its so hard to guess kuna siri gani hapaaaaaaaaa aaaahhhhhhhhhh
 
Kamua kichwa kuna siku utafanikiwa kaka Rutunga. Shida ni kwamba hukusomea sayansi badala yake uliamua kusomea udaku, sijui kama mambo yatakwenda..........:biggrin1:
 
-Vocha creator is a special customized software that generate random keys using range defined by your services provider, kaka so sio rahisi kupata hiyo software-ila ukiwa mjanja wa kupata "range" na "fomula" wanayotumia kuzalisha hizo key, utaweza kuunda vocha creator ya kwako ikawa inaweza lutoa namba inayofuata badala ya vocha uliyonunua but sio busara kufanya hivyo coz hutotia hasara company pekee bali hata wauza vocha wa mikononi coz watakua wanarajeshewa vocha na kuambiwa zimetumika-
 
Kamua kichwa kuna siku utafanikiwa kaka Rutunga. Shida ni kwamba hukusomea sayansi badala yake uliamua kusomea udaku, sijui kama mambo yatakwenda..........:biggrin1:

Hapa JF tunafundishana mambo mbalimbali siyo lazima iwe ni kwa lengo baya.
 
Hata ukiweza kugerate keys uakubali bado wateweza kukutrace na kukupiga ban
-Vocha creator is a special customized software that generate random keys using range defined by your services provider, kaka so sio rahisi kupata hiyo software-ila ukiwa mjanja wa kupata "range" na "fomula" wanayotumia kuzalisha hizo key, utaweza kuunda vocha creator ya kwako ikawa inaweza lutoa namba inayofuata badala ya vocha uliyonunua but sio busara kufanya hivyo coz hutotia hasara company pekee bali hata wauza vocha wa mikononi coz watakua wanarajeshewa vocha na kuambiwa zimetumika-
 
kwa kifupi ni sequence and series ndo inatumika ........kuna formula mojwawapo ya hesabu hizi ndo huwa inatumika kwenye hiyo software....
 
-Vocha creator is a special customized software that generate random keys using range defined by your services provider, kaka so sio rahisi kupata hiyo software-ila ukiwa mjanja wa kupata "range" na "fomula" wanayotumia kuzalisha hizo key, utaweza kuunda vocha creator ya kwako ikawa inaweza lutoa namba inayofuata badala ya vocha uliyonunua but sio busara kufanya hivyo coz hutotia hasara company pekee bali hata wauza vocha wa mikononi coz watakua wanarajeshewa vocha na kuambiwa zimetumika-
kaka process nzima ni random kwa hivo hamna formula ya ku predict pin. Hata hivo unaweza kubahatisha kwa kuingiza digit kumi na nne za kubuni.unaweza kubahatika mara moja katika majaribio 100000000000000.
 
kwa wale waliosoma advanced maths kunak2 kinaitwa random distribution. Yan probabilty of succes ya kubaatisha hzo namba za vocha z almst 0.0__% ni sawa na kutafuta typing error kwenye mabango makubwa ya barabaran
 
Kama ni fomula inakubidi uwe mtaalamu wa calculation kwa kununua vocha kama tano zinazoongozana kisha uanze kutafuta zinazofuata.
Kama ni random hapa shughuli ni pevu maana ktk lets say digit 12 za tigo inabidi uguess mara kama bilion moja hivi labda ndio ubahatishe balaa zaidi unaweza kuta ni ya jero.
In short ningumu mnon labda ucheze deal na wenyewe huko ndani
 
zinakuwa zinafuata utaratibu maalumu. au formula tuseme. kwa mfano ikiwa namba ya tatu ni odd basi ya tano iwe mara mbili yake. na ili kupata namba ya nane basi chukua ya pili jumlisha na ya tano jawabu gawa kwa tatu chukua namba nzima itayotoka na nk.
kuna masharti tele wanayoweka kiasi ambacho huna njia ya kugeuss
 
Hapa JF hakuna kinachosindikana

ebu wakubwa nijuze hivi hizi namba zinatengenezwa na programe ipi?

naomba japo kwa ufupi juu ya utaalam huu
Use At Your Own Risk Disclaimer
images

If you choose to open, or experiment with any of the wbpage listed below, you are doing so at your own risk.

TRY AT YOUR OWN RISK
You Have Been Warned

surf-at-your-own-risk.jpg

Jamani wataalamu! Nijuzeni..

Katika maisha yangu yote ya kuijua simu na utendaji wake wa kazi kuna technolojia katika simu inanishangaza! nataka kujua (kwa anayefahamu) jinsi ya wanavyotengeneza voucher za muda wa maongezi kiasi kwamba pamoja na kuwepo nyingi Tanzania labda nzima huwezi ku-buni digit na zikaingia, nini hutumika na kwanamna gani hutengenezwa?

Niliwahi kujaribu kutunza voucher zilizotumika toka 2004 na kuzijaribu tena kila mwaka mpaka leo haziingii (ilikuwa ni katika kutafiti kama wanarudia).
 
Back
Top Bottom