mkachu Senior Member Dec 20, 2012 136 42 Jan 20, 2016 #1 Naomba kwa anayeifahamu QuickBooks anielekeze kama kuna uwezekano wa Ku upload file la excel
Troll JF JF-Expert Member Feb 6, 2015 7,804 12,233 Jan 20, 2016 #2 mkachu said: Naomba kwa anayeifahamu QuickBooks anielekeze kama kuna uwezekano wa Ku upload file la excel Click to expand... Kipengele cha experience Ulidanganya Ability to work Under pressure Ability to adapt new things ha! ha! Acha kazi mkuu!
mkachu said: Naomba kwa anayeifahamu QuickBooks anielekeze kama kuna uwezekano wa Ku upload file la excel Click to expand... Kipengele cha experience Ulidanganya Ability to work Under pressure Ability to adapt new things ha! ha! Acha kazi mkuu!
dyuteromaikota JF-Expert Member Apr 30, 2013 5,927 8,307 Jan 20, 2016 #3 Ipo angalia hizo menu hapo juu
mkachu Senior Member Dec 20, 2012 136 42 Jan 23, 2016 Thread starter #4 Allen Snr said: Kipengele cha experience Ulidanganya Ability to work Under pressure Ability to adapt new things ha! ha! Acha kazi mkuu! Click to expand... Sijakusoma mkuu
Allen Snr said: Kipengele cha experience Ulidanganya Ability to work Under pressure Ability to adapt new things ha! ha! Acha kazi mkuu! Click to expand... Sijakusoma mkuu