Msaada; Je Vyuo vya serekali vinavyotoa computer science

Kama mtu anayetaka kusomea hayo masomo anashindwa vipi kuandaa list ya vyuo vilivyopo Dar akaanza kupitia kwenye website anaangalia major wanazotoa? Ni kazi moja rahisi tu na itakufanya uweze ku-weigh vizuri walivyojipanga.
Kwa kifupi vyuo karibia vyote wanatoa.
 
UDSM
DIT
IFM
KIU - Kampla international University
SJUIT-St. Joseph University In Tanzania
 
Back
Top Bottom