The Tan-talizer
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 155
- 50
Kinapofanyika kitu kizuri inabidi tupongeze.
Kuna uzi ulitolewa kuhusiana na ufanisi usioridhisha wa hii app ya JamiiForums kwa upande wa iPhone na hii leo nafurahi limefanyiwa kazi katika toleo hili jipya maana kitu kipo vizuri ajabu.
Wenye simu zenye kioo kirefu kama changu (i5) sasa application inafit screen mpaka raha na uki launch app unaona vile inavyo respond..!!
Wote waliohusika katika hili pongezi kwenu na watumiaji wa iOs device kama bado fanya hivyo update application na hautojutia..!!