Wadau,
Nina nyimbo kwenye laptop yangu. Bahati mbaya ili crash muda mrefu kidogo nimefanikiwa ku recover files. Baadhi ya nyimbo zinagoma kuplay (ziko kwenye format ya wav) nimejaribu kuzifanyia online conversion kwenda mp3 inasema ''cannot convert drm protected files''...........sasa wadau hakuna maujanja ku by pass hii drm.
Asante