Computer programming

wemode

Member
Aug 24, 2016
65
43
Hivi kuna society ya programmers hapa bongo, ambapo watu mnaweza kukutana na kufanya challenges za programming na kubadilishana mawazo.
 
Hivi kuna society ya programmers hapa bongo, ambapo watu mnaweza kukutana na kufanya challenges za programming na kubadilishana mawazo.
ipo nenda sayansi pale makumbusho huwa wanafanya hii kitu. mkuu language gani unayotumia ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom