teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau naomba kusaidiwabkstika hili, ninatumia tecno c9 kabla ya hapo nilikuwa natumia tecno f7 ambayo nilikuwa nikiitumia kuhamisha files toka kwenye pc na au kuingiza toka kwrnye simu, lkn toka nilipoanza kutumia hii c9 ni shida kila nikijaribu kusave naletewa ujumbe huu
naombeni wajuzi mnisaidie nimekuwa boared sana jamani.