Mkuu shida yangu ni unisaidie kuunlock vodacom zte r206 nimefungua thread so waweza nijibu kulesearch google
"firefox adblock"
majibu yakija fungua website ya kwanza ambayo ni addons.mozilla.org halafu utaclick sehemu imeandikwa add to firefox itadownload kb kadhaa halafu itakwambia install. click install utaona kilama chekundu juu kulia kimeongezeka. ukishaona hicho kialama ujue ndio mwisho wa matangazo hutayaona tena
mcheki Mwl.RCT yeye ndio anajishughulisha na hayo mambo, umejaribu dc unlocker?Mkuu shida yangu ni unisaidie kuunlock vodacom zte r206 nimefungua thread so waweza nijibu kule
Naona imekubali tena faster. Asante sana. Ila tatizo bado apps zinaji-install zenyewe. Device iko rooted, namaliza Vp Hii shida ya kukuta apps kibao zimeji-install?.search google
"firefox adblock"
majibu yakija fungua website ya kwanza ambayo ni addons.mozilla.org halafu utaclick sehemu imeandikwa add to firefox itadownload kb kadhaa halafu itakwambia install. click install utaona kilama chekundu juu kulia kimeongezeka. ukishaona hicho kialama ujue ndio mwisho wa matangazo hutayaona tena
simu gani?Naona imekubali tena faster. Asante sana. Ila tatizo bado apps zinaji-install zenyewe. Device iko rooted, namaliza Vp Hii shida ya kukuta apps kibao zimeji-install?.
mm natumia Tecno 3Y+ matangazo ya Kupatana yanajirudia baada ya kuinstall hiyo AdBlockPlus mengi yamepotea. au kuna mahali nimekosea nini Mkuu Mkwawa?simu gani?
Tablet, galaxy note 10.1simu gani?
sijakuelewa, kwani yakipotea si ndio vizuri? kupatana kunakuwa na matangazo yao katikati ya postmm natumia Tecno 3Y+ matangazo ya Kupatana yanajirudia baada ya kuinstall hiyo AdBlockPlus mengi yamepotea. au kuna mahali nimekosea nini Mkuu Mkwawa?
mkuu kuna app ina root acess ndio inafanya hayo mambo umeroot na nini? ingia kwenye list ya application zenye root angalia app usioielewa elewa ifutie haki za root ikiwezekana un install kabisa, pia nenda setting halafu security halafu device administrator angalia kuna app ipi na ipi mara nyingi hapo kunatakiwa kuwe na device manager tu.Tablet, galaxy note 10.1
Kwenye device administrator hakuna device manager, kuna security plugin na privacy guard. Lakini haziko active (unchecked). Na hizo huwa zinasumbua, nimeshindwa jinsi ya kuzifutilia mbali. Hiyo list ya app zenye root unaipataje?. Ukiipata how do you erase hizo apps?. Yaani Si-enjoy kabisa device yangu. Naweza kuperuzi dakika 2, lakini dakika nyingine tatu natumia ku-close apps na page za ajabuajabu ambazo hufunguka zenyewe.mkuu kuna app ina root acess ndio inafanya hayo mambo umeroot na nini? ingia kwenye list ya application zenye root angalia app usioielewa elewa ifutie haki za root ikiwezekana un install kabisa, pia nenda setting halafu security halafu device administrator angalia kuna app ipi na ipi mara nyingi hapo kunatakiwa kuwe na device manager tu.
unaporoot kunakuwa na app inamanage root, mfano wa hizo apps ni kama super su, super user, kinguser (kingroot) etc ifungue hio app utaona list ya app ambazo zinajipa root.Kwenye device administrator hakuna device manager, kuna security plugin na privacy guard. Lakini haziko active (unchecked). Na hizo huwa zinasumbua, nimeshindwa jinsi ya kuzifutilia mbali. Hiyo list ya app zenye root unaipataje?. Ukiipata how do you erase hizo apps?. Yaani Si-enjoy kabisa device yangu. Naweza kuperuzi dakika 2, lakini dakika nyingine tatu natumia ku-close apps na page za ajabuajabu ambazo hufunguka zenyewe.
Super su ilikataa kufunguka 2 days after root. Ilikuwa inadai update. Nikijaribu ku-update Ilikuwa inakataa. Hivi Karibuni short cut ya super senaunaporoot kunakuwa na app inamanage root, mfano wa hizo apps ni kama super su, super user, kinguser (kingroot) etc ifungue hio app utaona list ya app ambazo zinajipa root.
then nenda setting halafu application kufuta hizo apps.
Super su ilikataa kufunguka 2nd day after root. Ilikuwa inakataa na kudai some issues ambazo sizikumbuki. Hivi Karibuni short ut ya Super su imepotea. Hata nikienda apps manager haipo. Sijui nafanyaje Sasa!unaporoot kunakuwa na app inamanage root, mfano wa hizo apps ni kama super su, super user, kinguser (kingroot) etc ifungue hio app utaona list ya app ambazo zinajipa root.
then nenda setting halafu application kufuta hizo apps.
download app ya root checker store, hakiki kama una root, kama unayo install super su ipo playstore kama huna root tena.Super su ilikataa kufunguka 2 days after root. Ilikuwa inadai update. Nikijaribu ku-update Ilikuwa inakataa. Hivi Karibuni short cut ya super sena
Super su ilikataa kufunguka 2nd day after root. Ilikuwa inakataa na kudai some issues ambazo sizikumbuki. Hivi Karibuni short ut ya Super su imepotea. Hata nikienda apps manager haipo. Sijui nafanyaje Sasa!
I wll do that mkuu.download app ya root checker store, hakiki kama una root, kama unayo install super su ipo playstore kama huna root tena.