ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Habari JF,baada ya kuhangaika mda mrefu hatimaye jana nimefanikiwa kuroot simu yangu ili niweze kuinstall app zenye uwezo wa kuhack games,lakin bahati mbaya sina ujuzi wa kuzitumia hzo apps kuhack game naomba mwenye kujua jinsi ya kuhack game anisaidie,game lenyewe ni Gunship battle 3d helicopter.
Chief mkwawa na wengineo mchango wenu ni muhimu sana
Chief mkwawa na wengineo mchango wenu ni muhimu sana