HABARI WAKUU MSAADA KWA ALIEWAHI KUKUTANA NA HII ISHU Microsoft office professional plus 2010 encountered an error during setup NIMEJALIBU MICROSOFT OFFICE KALIBIA ZOTE BADO NAPATA UJUMBE HUU ILA...
Mimi ni mwanafunzi bado wa advance na nimechukua mchepuo wa arts(HGL).
Nimekuja mbele yenu leo ili niweze kupata msaada maana Nahitaji kuwa na utaalamu wa maswala mazima ya CCTV na Security...
Whatsapp wametoa version mpya na wanataka ni-update. Lakini nikienda google play, inasema device yangu haiendani na hiyo new version. Nafanyaje sasa?
Natumia samsung tablet note.
Nimeona apple hawana mchezo, sasa kwenye simu zao wanatumia System on Chip Apple A10 ambayo ni nzuri sana kwa gaming (hexa-core GPU).
Snapdragon 820 wataweza moto?
Hizi A10 ni latest zimekuja na...
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
Nimekuwa nikitumia Smart kwa siku kama 3 sasa na kuna tatizo kubwa nimekutana nalo, inaelekea IP za mtandao huu zinatumika sana kutuma SPAM na kuendesha botnets, hii inapelekea kampuni ya...
Mimi ni upcoming photographer hivyo bas nahitaji ninunue camera ...nahitaji used canon nina laki saba nanusu tafathali kama unamjua mtu anaetaka kuuza naomba unitaarifu
Kampuni ya simu ya Blackberry itasitisha kutengeza simu aina ya smartphone baada ya miaka 14 katika bishara hiyo ,kampuni hiyo imetangaza.
Ikiwa wakati mmoja kiongozi katika soko la mauzo ya...
Nimechoka kila siku kuingia gharama sababu ya wizo wa halotel, nikijiunga na kifurushi na MB 600 nikifungua youtube au kudownload na magropu machache ya whatsapp kifurushi kinaisha.
Sasa najiuliza...
Habari wakuu simu yangu imegoma kuxoma card leader na flash kwa kutumia otg cable,kabla ya kugoma hapo mwanzo ilikuwa inasoma bila shida tatizo linaweza kuwa nini
wadau
habarini za jioni wandugu naombeini msaada wenu
Natumia laptop aina ya HP pavilion core i5 2.4GHZ processor intel HD graphic tatitzo la mashine yangu siku hizi inapata sana moto wadau...
Habari za muda huu! Jamani ninahitaji msaada wenu ili niweze kuondoa hii kero niliyonayo kwenye hii music player (boom player) kila nikiplay audio inaselect picha yeyote automatic kutoka kwenye...
Wana jamvi, mtu yeyote anayefaham application nzur ya kuzuia cm zisiingie naomba anijuze, nimejaribu call blacklist zote imeshindikana, nikaweka cm security nayo imeshindikana ivyo yeyote mwenye...