Natafuta used canon 5D au T5i used

Ben bizzoh

Senior Member
Dec 28, 2013
121
5
Mimi ni upcoming photographer hivyo bas nahitaji ninunue camera ...nahitaji used canon nina laki saba nanusu tafathali kama unamjua mtu anaetaka kuuza naomba unitaarifu
 
Haya manunuzi ya eBay yanafanyika vipi? Mbona wanataka ujaze taarifa za benk, lakini ukienda bank ukiwaeleza wanakwambia hawanahuduma za malipo ya mtandaoni. Mfano EXIM BANK, kuna njia mbadala?
Kaka CRDB na Standard Chartered wako vizuri sana kwenye hili suala la manunuzi kwa njia ya mtandao!
Unachotakiwa kufanya ni kufungua account na ku-apply ili waweze kuruhusu card yako kufanya manunuzi!
 
Ooooh! Ahsante sn maana hawa eBay bhana wanavitu vizuri na bei nzuri sn
 
Haya manunuzi ya eBay yanafanyika vipi? Mbona wanataka ujaze taarifa za benk, lakini ukienda bank ukiwaeleza wanakwambia hawanahuduma za malipo ya mtandaoni. Mfano EXIM BANK, kuna njia mbadala?
Nenda bank abc uombe visa card utapewa hapo hapo pesa unaweka via tigo pesa unalipia vitu online
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom