Kwa anayefaham application nzur ya kuzuia cm zisiingie

Kwa anayefaham application nzur ya kuzuia cm zisiingie

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,149
Reaction score
1,852
Wana jamvi, mtu yeyote anayefaham application nzur ya kuzuia cm zisiingie naomba anijuze, nimejaribu call blacklist zote imeshindikana, nikaweka cm security nayo imeshindikana ivyo yeyote mwenye application nzur anitumie jaman nataka izuie cm na sms kabisa! chief mkwawa, nitupie moja apo matata xn mdogo wako nijidai! iwe ya incomming call & xmx. Nawasilisha
 
kwenye bold hapo ndio sijaelewa mdogo wangu
 
Call barring c unafunga no zote? application itumike kwenye smartphone bhana lamkyeku
 
Sim na sms! acha izo bhana mzururaji
 
Iyo code ni barring, na mm sihitaji kufunga no zote bali nahitaji kufunga no moja tu
 
Ka jamaa kalikoandika hata unajisikia aibu kukasaidia. Maana hata kuandika tu hakajui. Katakuwa katoto ka darasa la 5-7 . maana uandishi wa xmx ina maana hata hajaelewa namna ya kuandika.

Wadau msiwe mna wa entertain hawa watoto hawaend shule wanakuja kutusumbua watu wazima huku JF na kujaza tu server na mambo yao ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom