Babuj96
Senior Member
- Mar 26, 2016
- 136
- 54
Mimi ni mwanafunzi bado wa advance na nimechukua mchepuo wa arts(HGL).
Nimekuja mbele yenu leo ili niweze kupata msaada maana Nahitaji kuwa na utaalamu wa maswala mazima ya CCTV na Security Systems kwa ujumla hasa hasa wa majumbani ili nitakapo maliza elimu yangu ya advance niweze kusomea.
So nilikuwa nataka kufahamu jina la kozi pamoja na vyuo vinavyotoa hiyo kozi kwa hapa Tanzania.