Dah wadau anae weza kunsaidia sehem ambapo ntapata movie zlzo wekwa maneno ya kiswahl kwa saut

Sina hakika kama ni nyingi mtandaoni.
Mimi movie ikishatafsiriwa kwa kiswahili basi siwezi itazama.
Labda iwe imetafsiriwa kwa style ya zile tamthilia za kichina zinazoonyeshwa TBC au movie ya yesu.
Lakini sijui rufufu, dj mark uwa sinakata stim
 
Back
Top Bottom