Natafuta used display ya note 3 N9005

Natafuta used display ya note 3 N9005

window9

Senior Member
Joined
May 12, 2016
Posts
113
Reaction score
85
Husika na kichwa cha habari hapo juu.njoo inbox kwa mawasiliano zaidi
 
Namimi mkipata maana kuna mtu kaniambia kurepair nimpe laki 3.80
 
Wakuu nipo serious kuna jamaa yangu amenambia ana simu note 3 mpya 300000.
 
haijashuka kufikia bei hiyo c chini ya laki 5..
 
mkikosa njoeni muichukue note 3 kwa 350,000 imetumika kiasi...
 
Back
Top Bottom