Habari wakubwa leo jioni wakati natoka kwenye mishe mishe zangu za hapa na pale nimeangusha nokia yangu ya tochi ila ina security code,je mtu aliyeokota anaweza kwenda kuflash ikakubali kama...
Habari wakuu
Siku mbili zilizopita nilileta Uzi unao husulivr TV apps nzuri za kuangalia TV kwenye sim yako ya smart phone
Leo nakuja na hii ambayo utaweza utaweza kuangalia TV za hapa home kama...
HABARI WAKUU MSAADA KWA ALIEWAHI KUKUTANA NA HII ISHU Microsoft office professional plus 2010 encountered an error during setup NIMEJALIBU MICROSOFT OFFICE KALIBIA ZOTE BADO NAPATA UJUMBE HUU ILA...
Mimi ni mwanafunzi bado wa advance na nimechukua mchepuo wa arts(HGL).
Nimekuja mbele yenu leo ili niweze kupata msaada maana Nahitaji kuwa na utaalamu wa maswala mazima ya CCTV na Security...
Whatsapp wametoa version mpya na wanataka ni-update. Lakini nikienda google play, inasema device yangu haiendani na hiyo new version. Nafanyaje sasa?
Natumia samsung tablet note.
Nimeona apple hawana mchezo, sasa kwenye simu zao wanatumia System on Chip Apple A10 ambayo ni nzuri sana kwa gaming (hexa-core GPU).
Snapdragon 820 wataweza moto?
Hizi A10 ni latest zimekuja na...
Wadau nahitaji msaada jinsi ya ku-adjust mwanga wa pc (dell latitude 620 natumia window 7)....nimejaribu Fn + arrow keys na pia settings za rangi lkn hakun mabdliko
Nimekuwa nikitumia Smart kwa siku kama 3 sasa na kuna tatizo kubwa nimekutana nalo, inaelekea IP za mtandao huu zinatumika sana kutuma SPAM na kuendesha botnets, hii inapelekea kampuni ya...
Mimi ni upcoming photographer hivyo bas nahitaji ninunue camera ...nahitaji used canon nina laki saba nanusu tafathali kama unamjua mtu anaetaka kuuza naomba unitaarifu
Kampuni ya simu ya Blackberry itasitisha kutengeza simu aina ya smartphone baada ya miaka 14 katika bishara hiyo ,kampuni hiyo imetangaza.
Ikiwa wakati mmoja kiongozi katika soko la mauzo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.