Kesho natuma barua kuwashtaki Halotel

Kesho natuma barua kuwashtaki Halotel

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,068
Nimechoka kila siku kuingia gharama sababu ya wizo wa halotel, nikijiunga na kifurushi na MB 600 nikifungua youtube au kudownload na magropu machache ya whatsapp kifurushi kinaisha.
Sasa najiuliza hizi ni MB 600 au 100.
Kuna mitandao kama airtel kwa waliobahatika kukaa na maeneo ya chuo au voda wanazifaidi sana hizi MB, zinaweza kuwa 100 lakini ukadumu nazo zaid ya huo uchwara wa halotel.
Wananiboa sana hawa matapeli.
Au nyie mnakumbana na kadhia yangu wakuu?
 
Hilo swala ni ni wewe na simu yako wala sio halotel..
Inawezekana kuna auto updates zipo on hizi zinakula bando kama kawa..tena bando kubwa tu

Nenda kweny setting kule ukaangalie data usage zimekaaje utaona apps zinazo maliza bando lako
 
bila kuwa na ushahidi huwezi kushitaki namna hio.

nenda store tafuta firewall yoyote halafu pima matumizi yako ya data kila unapounga kifurushi. hata built in tool unaweza itumia set data limit iwe mb 600 halafu unga kifurushi then tumia
 
1474978180073.png
1474978191488.png
 
Youtube inakula sana MB, punguza kuangalia video youtube uone kama BANDO haikai mda mrefu.
 
Halotel pumzi kijiko, Tigo na Voda ndo habari yao
 
N
Hilo swala ni ni wewe na simu yako wala sio halotel..
Inawezekana kuna auto updates zipo on hizi zinakula bando kama kawa..tena bando kubwa tu

Nenda kweny setting kule ukaangalie data usage zimekaaje utaona apps zinazo maliza bando lako
Natumia halotel kwenye computer na simu tatu, kwa wakatiu tofauti. auto updates nimedisable zote. hakuna background task inayokula data. zote nime disable.
kama nilivyokuambia hapo juu nimetoa conclussion kwa device hizo hapo, sikurupuki tuu.
na ni bando la chuo.
 
bila kuwa na ushahidi huwezi kushitaki namna hio.

nenda store tafuta firewall yoyote halafu pima matumizi yako ya data kila unapounga kifurushi. hata built in tool unaweza itumia set data limit iwe mb 600 halafu unga kifurushi then tumia
sawa mkuu
 
N

Natumia halotel kwenye computer na simu tatu, kwa wakatiu tofauti. auto updates nimedisable zote. hakuna background task inayokula data. zote nime disable.
kama nilivyokuambia hapo juu nimetoa conclussion kwa device hizo hapo, sikurupuki tuu.
na ni bando la chuo.
Naomba upost hapa screenshot ya data usage ikionyesha matumiz ya data kutoka kweny apps zako
 
hiyo ktu nimeiona, jana nikasema nijaribu, nimeweka bando la 1000/= ambalo ni 600 MB kwa kasi, sikufanikiwa ku download hata episode 1 iliyokuwa na 300MB nikaona speed imepungua
 
Naomba upost hapa screenshot ya data usage ikionyesha matumiz ya data kutoka kweny apps zako
Amini nayo kwambia mkuu mimi sijaanza kutumia mtandao leo, data usage najuas pia, ntaset leo
 
Utapost hiyo barua kwa kutumia masunduku ya barua yanayosimamiwa na shirika letu posta hapa Tanzania (TPC)?
 
Back
Top Bottom