Tatizo la Captcha kwenye mtandao wa Smart

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Nimekuwa nikitumia Smart kwa siku kama 3 sasa na kuna tatizo kubwa nimekutana nalo, inaelekea IP za mtandao huu zinatumika sana kutuma SPAM na kuendesha botnets, hii inapelekea kampuni ya CloudFlare kuziweka IP hizi kwenye blacklist.

Karibia kila site inayotumia CloudFlare (site zaidi ya milllioni mbili) nikienda nakutana na Captcha challenge kama hii hapo chini.

captcha.png


Blacklist
BLACK.PNG
 
Back
Top Bottom