Msaada: PC inawaka kwenye safemode tu

Msaada: PC inawaka kwenye safemode tu

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
PC yangu imezima ghafla wakati nikiwa naitumia. Tokea hapo imegoma kuwaka, ila mara moja moja inathubutu kuwaka kwenye safe mode tu.
 
pindi utapo ingia katika safe mode kutakua na option restart pc without ansigned driver. iwapo itawaka poa bila shida basi uondoe draiver ya mwisho kuistall
 
Back
Top Bottom