wadau
habarini za jioni wandugu naombeini msaada wenu
Natumia laptop aina ya HP pavilion core i5 2.4GHZ processor intel HD graphic tatitzo la mashine yangu siku hizi inapata sana moto wadau naombeni msaada wadau nifanyeje na tatizo ni nini??
msaada unahitajika