sameerkhan
Member
- Nov 5, 2015
- 97
- 34
Habari za muda huu! Jamani ninahitaji msaada wenu ili niweze kuondoa hii kero niliyonayo kwenye hii music player (boom player) kila nikiplay audio inaselect picha yeyote automatic kutoka kwenye gallarey inakuwa inazunguka na mziki ukiendelea na nimejaribu kuzifuta picha zote lakini nikiplay tena music picha bado ziko palepale zinaendelea kuwepo, naombeni msaada nifanyeje kuondoa hii kero?? Nawasilisha