Kuangalia live TV za Tanzania

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
552
Habari wakuu

Siku mbili zilizopita nilileta Uzi unao husulivr TV apps nzuri za kuangalia TV kwenye sim yako ya smart phone

Leo nakuja na hii ambayo utaweza utaweza kuangalia TV za hapa home kama az TV 2 na azam TV HD

Kwanza download app inayoitwa live stream player

Ukisha download login kwa kutumi fb account

Au fungua account hapo hapo.

Ukishafanya hivyo
Nenda kwenye add stream

Ingiza hizi link kisha play uta-enjoy

Azam TV 2
http://154.73.170.220:1935/AZAM2/myStream/playlist.m3u8

Azam sports HD
http://154.73.170.220:1935/azamsports/myStream/playlist.m3u8

Kwa TV zingine stay updates
Soon nitakuwelea link zake

Pamoja
 
channel za bongo sijui zina nini ukitaka kuangalia online nyingi sana zinakua hazipatikani alafu ni uoga wetu tu ku stream online mb hazikatiki sana ukilingalisha na ku play video instagram
 
Habari wakuu

Siku mbili zilizopita nilileta Uzi unao husulivr TV apps nzuri za kuangalia TV kwenye sim yako ya smart phone

Leo nakuja na hii ambayo utaweza utaweza kuangalia TV za hapa home kama az TV 2 na azam TV HD

Kwanza download app inayoitwa live stream player

Ukisha download login kwa kutumi fb account

Au fungua account hapo hapo.

Ukishafanya hivyo
Nenda kwenye add stream

Ingiza hizi link kisha play uta-enjoy

Azam TV 2
http://154.73.170.220:1935/AZAM2/myStream/playlist.m3u8

Azam sports HD
http://154.73.170.220:1935/azamsports/myStream/playlist.m3u8

Kwa TV zingine stay updates
Soon nitakuwelea link zake

Pamoja
Ubarikiwe sana mkuu.
 
hizo link nimejaribu zinaplay hata kwa media player ya simu unaweza kuitumia hiyo kuliko kudownload play store app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom