Natanguliza shukrani , nilikuwa nahitaji msaada kwa mtu anaeweza kutengeneza sabuni za kuoshea chooni, nilipenda zaidi na mm kujua jins ya kufanya ili niweze kutengeneza pia,
Nimekuwa nikisoma a lot in science , sijawahi kuona mahali mwafrika aliweza kugundua lolote katika dunia ya sayansi. I might be wrong, sijui!!!!
Tufanyeje waafrika?
Angalia attached list
habari ya siku wanajamii,, nina laptop aina ya dell E5400 32-bit operating system,, 2gb ram,,
shida yangu kubwa ni namna gani nitaweza kuweka sim card na kuiwezesha ifanye kazi kwenye hii laptop...
Naomben msaada kwa hili Nina pc Toshiba satellite 2core 4gbRam storage capacity 500gb mwanzon nilikuwa nacheza game ya a ina yoyote lakin Sara fifa 14. Tu linakuwa slow nimejatibu kubadili window...
Mjasiriamali Elon Musk ametangaza mpango wake wa kuunda makao ya binadamu katika sayari ya Mirihi (Mars kwa Kiingereza),ingawa wanaotaka kunufaika watahitajika kulipa pesa nyingi. Tiketi ya...
Habari zenu wapendwa.. naombeni msaada nifanye nini tablet yangu display yake inaonyesha mwanga mweupe mpaka uikandamize kwa nyuma kwa nguvu ndo inarud katika hali yake ya kawaida.. tatizo ni...
Natambua huu ni msimu ambao wazazi na wanafunzi waliobahatika kufauru wanajiandaa wakifanya maandalizi kuelekea level nyingine.
Kwanza niwape hongera kwasabu haikua kazi rahisi.
Kwa wale...
HABAR,
Wakuu hiyi kitu inaitwa .cerber3 ransomware, ni kirusi kibaya zaid ya kilichowahi kutokea dunian kwa sasa
Kinafanyaje kazi: kinaingia kwa njia za kawaida kama kirus kingine tu, ila...
Kama kichwa cha Habari kinavyosema nitatoa hela kwa atakaye nisaidia mbinu ya kuRoot Huawei y3ii yangu maana nimejaribu kila mbinu na kila app za Android pamoja na za Computer ninazojua...
Habari,
Natumia Vodafone hizi za android ila kila nikijaribu kuset details za email kwenye App ya email, naletewa taarifa kuwa nmekosea email au password ilhal naingiza kwa usahihi. Naomba mwenye...
Habari wapendwa....
Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa.....
NB...
Waptrick kuna nyimbo nazikosa....
Tubidy tangu ibadilike inanishinda...
Habari zenu wakuu...
Jana nimenunua simu kwenye tigo shop
Simu aina ya Tecno N2
Ila inatumia tigo tu kwa sim1 ambayo ndo yenye mtandao mkubwa
Hivyo naomba mwenye ujuzi na ufahamu wa kuifungua ili...
kichwa cha habari kinajieleza wadau nilifanya factory data reset nikajikuta nimefuta vitu vyangu vya muhimu kama picha videos na mafaili mengine, tafadhali naomba mnisadie ni apps zipi nitumie...
Wakuu Habarini ya mida hii, napenda kuwatangazia kuwa bado offer inaendelea Kwa yeyote anayehitaji website au project yeyote ile iwe system au webbase app, tuwasiliane Kwa namba hii 0687535650...
Wapendwa wanaJF, Nina tatizo kwa simu yangu. Simu yangu ni iPhone 5 nyeupe ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda wa mwaka mmoja sasa, lakini hivi juzi imejiblock na kuandika iPhone is disabled...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.