MSAADA iOS device

MSAADA iOS device

Ballac

Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
68
Reaction score
8
Naomba procedures za kujail-break ipad angu ios 9.3.4 ili niweke whatsapp version ya jailbreak......
 
So far hakuna jailbrake ya uhakika mkuu
Ipo Lakini ukizima na kuwasha tu simu inabidi urudie zoezi
Poa tweaks na apps nyingi haziwa updated kufit hiyo ios
Ushauri, labda tuvute subira ios 10 kama itakuja jailbrake ya uhakika maana Apple wamebana balaa
 
Daaaah.....9.3.3 kushuka chini ndo naona walijail-brake.....sjui hiz 4 na 5 wamweshindwa nn ngoja tuzid kuwa na subira
 
Back
Top Bottom