mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari wakubwa leo jioni wakati natoka kwenye mishe mishe zangu za hapa na pale nimeangusha nokia yangu ya tochi ila ina security code,je mtu aliyeokota anaweza kwenda kuflash ikakubali kama smartphone