Jinsi ya kutumia Facebook ads bure

Jinsi ya kutumia Facebook ads bure

apakak

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
896
Reaction score
662
Anayefahamu namna ya ku boost na ku promote bure tuwasiliane pm.Nipo tayari kuununua huo ujuzi
 
Anayefahamu namna ya ku boost na ku promote bure tuwasiliane pm.Nipo tayari kuununua huo ujuzi

Facebook hawawezi kupromote bure, ads ni lazima ulipie.
Kama unataka vya bure tumia account feki za wadada kama 10 hivi ziwe na friend list ya watu hata 5,000, ukipost unatumia hizo account ku-share, of course ni illegal na wajinga ndio wanatumia njia hii ila it works.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom