Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

habari zenu, Wadau mm ni kijana mwenzenu katika technology ila kila kitu huwa hakikosi vikwazo na kikwazo kikubwa kwangu ni laptop. Nimeamua kuleta kwenu wana jamvi kwa ajili ya Msaada wenu japo...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Miaka ya Hivi karibuni watanzania wamekuwa wakiamka na kubuni vitu ambavyo vinalinufaisha taifa Kwa kiasi kikubwa .Kama Edwin Bruno alivotengeneza app ya kusoma magazeti Dr Hilonga yeye anagusa...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu wakuu nina simu Huawei y520 nikiiwasha inaniambia "android version has stopped" tafadhalini sana naombeni msaada mwenye ujuzi na hili tatzo maana haisomi network kabisa na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I have a small question regarding dos commands. Nimekuwa natumia command kama tasklist ambayo ina list all processes zinarun kwenye computer. pia kuna command kama taskkill ambayo inaua processes...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu nashindwa kuhamisha app nikijaribu inaniambia not enougj space wakati nina 16gb internal na 16 GB sd card. Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana bodi, Hili suala linanitokea ni wiki ya pili sasa kila nikiandika e_h bila huo mkato inatokea herufi eh eh. Wataalam wa IT na language njoeni hapa mnisaidie.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimatumaini yangu kuwa mkowazima wa afya njema. Ndug wanajamvi ninatatizo kwenye simu ya huawei y530,tatizo liko hivi-…niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
ANZISHA BIASHARA YA WEBSITE HOSTING & DOMAIN NAME REGISTRATION KWA GHARAMA KARIBU NA BURE... NB: SLOTS NI 10 TU...FIRST COME FIRST SERVED.. MTAJI: TSH 150,000/= (laki na nusu. sijakosea) KWA...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada wakuu, simu hii viwa android ina pattern sasa nataka kuacces vilivyomo ndani kwa kutumia PC. Nifanye mbinu gani niitumie kwenye PC bila ya kuiformat? Asante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. natumia simu aina ya samsung galaxy note 2 , tatizo lake ni kutokukamata Wireless network (Wi-fi) pamoja na Bluetooth. naomba mawazo na msaada ili niweze kutumia vitu hivyo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habri! naomba msaada wakuu juu ya plugin(addons ) za kodi kwa channel za africa,tz,na bet na nyingine nyingi
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Friji aina ya lg yenye sehemu mbili ,sehemu ya juu ni freezer sehem ya chini ni friji yenye baridi ya kawaida Shida ipo kwenye friji yenye baridi ya kawaida ,haina baridi kabsaa yaan haitoi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana jamii forum, Natumia toshiba sattelite, katika matumiz yangu ya kawaida suddenly ili freez na kuzima, nilivoiwasha ikaamka na kuweka pasword na hali laptop yangu haikua na pasword...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
Naombeni mnifundishe kuwa taa kwenye laptop keyboard hp probook 450 g2
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Chief-Mkwawa Naomba msaada SIMU BORA Naomba unichagulie simu bora ya kununua bajeti yangu Tsh 0.8mln up to 1.2mln napendelea sana double line kwajili ya kupunguza uzito mfukoni. History yangu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Leo ndugu wanajamvi nimeonelea niwaletee maelezo kidogo kuhusu pesa tunazochangia kununua umeme, na hasa kwa wale tunaoishi katika nyumba za kupanga. Labda nianze na umeme tunaonunua toka tanesco...
5 Reactions
19 Replies
14K Views
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Samsung note 2 inakataa kupiga au kupokea cm inaandika not registered to network... Tatizo hili limekuna baada ya mimi ku upgrade os from note to not samsung...
1 Reactions
2 Replies
811 Views
Wakuu za jioni. Naombeni msaada kama kuna key body ambayo unaweza kuandika maneno kwa kiswahili nayo ikakutafsiria kwa kingereza. Maana english. Ni tatizo kwangu kama nataka kuwasiliana na mtu...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Ninapoiwasha inaandika no bootable devices--strike F1 to retry boot,F2 for setup utility Press F5 to run onboard diagnostic. hapo tatizo linaweza likawa nini maana nimejaribu hayo yote mwisho wa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani Wadau naweza pata connection ya kuwatangazia tigo/voda/Airtel matangazo yao kwenye blog yangu kuna dau Nene
0 Reactions
4 Replies
703 Views
Back
Top Bottom