Kwanini inatokea hii alama "eh eh eh eh" kila niki type chochote?

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Jun 22, 2013
1,301
738
Wana bodi,

Hili suala linanitokea ni wiki ya pili sasa kila nikiandika e_h bila huo mkato inatokea herufi eh eh.

Wataalam wa IT na language njoeni hapa mnisaidie.
 
Wana bodi hili suala linanitokea ni wiki ya pili sasa kila nikiandika e_h bila huo mkato inatokea herufi eh eh....wataalam wa it na language njoeni hapa mnisaidie
Hujui kutumia smartphone wewe, hvyo rudi utumie nokia toch tu
 
Screenshot_20161026-094406.png
lbda kwa simu ko haitokei ila kwangu ipo sana
 
Back
Top Bottom