MOLAM
Senior Member
- Oct 12, 2013
- 141
- 20
Nimatumaini yangu kuwa mkowazima wa afya njema. Ndug wanajamvi ninatatizo kwenye simu ya huawei y530,tatizo liko hivi-…niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall baada ya kuinstall nakajaribu kutafuta font niipendayo ikaniambia ni reboot ili kubadilisha system font nikaruhusu iriboot baada ya kureboot ikabaki kwenye kuandika Adroid bila kuendeleza chochote. Natumaini kupata msaada kutoka kwenu.