Msaada wa Huawei y520.

Msaada wa Huawei y520.

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
297
Reaction score
293
Naombeni msaada wenu wakuu nina simu Huawei y520 nikiiwasha inaniambia "android version has stopped" tafadhalini sana naombeni msaada mwenye ujuzi na hili tatzo maana haisomi network kabisa na kinachotokea ni hayo maneno.
 
itarudi sawa ila usiwe unatumia hadi inakata chaji kabisa
 
Back
Top Bottom