Msaada: Samsung Galaxy Note 2 haikamati Wi-Fi na bluetooth

baraka muyabi

Senior Member
Aug 13, 2012
162
58
Habari wana jamvi. natumia simu aina ya samsung galaxy note 2 , tatizo lake ni kutokukamata Wireless network (Wi-fi) pamoja na Bluetooth. naomba mawazo na msaada ili niweze kutumia vitu hivyo.
 
mkuu hiyo simu itakua feki..mi natumia Note II mwaka wapili sasa inakila kiyu na inapiga mzigo kama kawa.
aaanh aaanh mkuu kwa nini uanze tu kua ni fake...nilijaribu kupita katika mitandao nkakuta ni simu nyingi sana za samsung hasa note 2, S2 na S3 zina tatizo la Wifi na Bluetooth, baadhi nkaona wanadai uifungue uigonge kwa nyuma na kitu kama kalamu hasa upande wa antena ...nimejaribu hamna kitu..nimepewa mpaka samsung code za ku unlock internet hamna kitu ndo maana nimekuja huku...na kama wataka naweza kukupa mpaka IMEI ukaiangalia kama ni fake au lah
 
wifi na bluetooth, zote ni radio zinakaa mahala pamoja, haijafunguliwa hio simu? most of time linakuwa ni tatizo la hardware
 
Back
Top Bottom