Key 'body'.Ya kutafsiri maneno.

Key 'body'.Ya kutafsiri maneno.

My god win

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
361
Reaction score
240
Wakuu za jioni. Naombeni msaada kama kuna key body ambayo unaweza kuandika maneno kwa kiswahili nayo ikakutafsiria kwa kingereza. Maana english. Ni tatizo kwangu kama nataka kuwasiliana na mtu wamataifa mengine. kwa mfano....nataka kwenda nyumbani iweze kunitafsiria kwa kingereza. Asanteni. Nahitaji kujua
 
Mhhh, kwakweli Fanya kujifunza ngeli kwanza usipende mteremko.
 
Back
Top Bottom