Habari zenu wadau,natamani sana
kujua mobile app zinatengenezwaje nikisha install android studio hatua zipi zinafuata ili nitengeneze ya app yngu.Idea nnayo tayari
Habari za muda huu wadau,nimepatwa na tatizo ambalo nimeshindwa nilitatue vipi.
Nina external HardDisk aina ya TRANSCEND storejet GB 500,ghafla imepotea haionekani kwenye pc bali taa yake inawaka...
Wakuu waya wa charge ya PC yangu inapitisha moto lakini haichajishi PC inaniandikia maelezo kuwa AC ADAPTER HAS WAT WAT ATA SIELEWI MWENYE UUJUZI ANISAIDIE TAFADHALI.
Habarini wana JF
Naomba mnisaidie ni kitu gani kimekuvutia mpaka umeamua kutumia aina na simu unayotumia ( Iphone,Samsung,LG, HTC.....)
Mimi napenda iphone kwasababu ya security na pia inakaa na...
Simu ya Iphone 7 imedaiwa kusababisha kuwaka kwa moto katika gari
moja huko nchini Australia.
Mmiliki wa simu hiyo Matt Jones anasema aliiacha simu yake katika gari
na kuelekea darasani na ndipo...
Kampuni ya Google Jana ilizindua messaging app mpya inayoitwa allo itakayokuwa ikitumia namba za simu kama mtandao wa watsapp, allo imetofautiana kidogo na whatsapp kwani inakupa vitu vingi katika...
Habari waungwana,
Naomba kuuliza kuhusu mtu mwenye ujuzi la laptop. Nina laptop aina ya Sony Vaio ila haikubali game kila nikiweka program au cd ina sema sijui graphic haipo supported na vitu...
samsung S4 nikiweka laini inasoma kuwa imo na hata sehemu inayoonesha mnara ipo poa ila inaniandikia No service tangu jana mchana, nimejaribu kuweka laini za mtandao mwingine ila tatizo bado lipo.
Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa...
wandugu habar zenu..... pc yangu elitebook nikiiwasha inaandika "Non system disk or disk error replace and strike any key when ready" tatizo nini apo wakuu mana mi siko deep na haya mambo.
Samahanini ndg zng nimekuwa nikipata wakat mgumu wa kudownload miziki hasa ile ya nyuma maana baadhi ya app ninazozijua hazina sehemu ya ku-search!hivyo bac naomba mnijuze app zenye sehemu ya...
wakuu niko na equity bank sasa imekuwa impossible kabisa kulink hii card na paypal .sijapata verfication code mpaka ninavyoandika ujumbe huu ni wiki sasa wakuu, mana ninavyojua kwa equity hii code...
Hey guys, our partner who's based in Sweden is looking for Ruby & JavaScript developers in Tanzania (possibly for remote work and some projects he's coming to set up in Tanzania).
He'll be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.