How to remove BIOS password in Satellite toshiba laptop

How to remove BIOS password in Satellite toshiba laptop

bro kay

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
249
Reaction score
222
Habari wana jamii forum,

Natumia toshiba sattelite, katika matumiz yangu ya kawaida suddenly ili freez na kuzima, nilivoiwasha ikaamka na kuweka pasword na hali laptop yangu haikua na pasword.

Nmetaka kujarib kurestore kupitia safe mode booting lakin nikiwasha tu kabla ya kufanya chochote inanitaka password. Msaada wenu wakuu

Thanks,
 
Swicht off your Pc remove betry and then return .Ikigoma apo msubir chief mkwawa
 
Thanks bro....i tried that
Ndani ya laptop yako kuna bios jumper, chomoa hiyo jumper subiri kama dakika 20 kisha irudishe, tayari password itakuwa imefutika.

Usifungue Computer yako kama hauna uelewa wa ufundi wa computer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom