Wakuu habari zenu simu yangu ina tatizo kila ninapo Instal app ninapata "Google App has stopped" though installation inakamilika na hili tatizo la muda na kwa sasa nafikiri ndio linapelekea simu...
Habari wana JF...simu yangu ni smartphone techno ....niliihukua. dukan miez 6 iliyopita lakiini sasa hivi imeanza tatizo la kupoteza...network yan inasoma mtandao kwa shida wakati mwingine nipo...
Naomba kuelekezwa namna ya ku UNLOCK VODAFONE V 75
Mtoto alichezea ikafungwa, ikawa inahitaji e mail, lakini nimejaribu kuingiza password imegoma, kuna ujumbe kwamba nakosea japo nikifungua kwa...
TitanicHost Tanzania Agent.
Sasa host website yako BURE kwa miezi 3 ya kwanza,Huduma zetu nizakiwango cha juu 99% UP TIME. Usporidhika na huduma hutatozwa chochote. Web Hosting Tanzania - Shared...
Katika android yako amini unaweza kubadili chochote usichokipenda mfano nembo ya tecno sim inapowaka na kuzima;
1. Nembo ya Tecno simu inapowaka na kuzima
2. Kubadili rangi ya notification bar...
Wakuu naomba msaada toka kwenu wataalamu ili nipate maujanja ya kushinda bahati nasibu hii mfano namba za ushindi kwa draw ya kwanza zimetokea 36 32 38 30 69. Draw ya Pili namba za ushindi...
Habari zenu waungwana.
Naomba muongozo jinsi ya ku connect mobile phone(nokia 208) as modem kwenye pc.
Driver zipo ila imenishinda ku connect.
Nawasilisha[emoji120]
Simu yangu nimeitumia kwa miaka mi3 sasa TECHNO H5, Juzi nimeiwasha ila nataka ku-slide nitoe lock ikawa inaonesha waves tu lakin ukigusa screen no response, button za pemben yaani ya kuwasha na...
Habari wanajamvi natafuta wapenzi Wa kucheza scrabble online,ni moja ya michezo mizuri ya kuchangamsha akili.Nimechoka kucheza na wazungu ningependelea kupata washindani wenzangu waafrika.Najua...
Habari wakuuu kwa mwenye kufaham android tv box..ni kitu gani na inafanyeje kazi tafadhali naomba anifahamishe...na je zinapatikana wapi kwa hapa Dar..na zinauzwaje? ?
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.