JABASmartSolutions
Member
- Jan 24, 2013
- 71
- 33
Friji aina ya lg yenye sehemu mbili ,sehemu ya juu ni freezer sehem ya chini ni friji yenye baridi ya kawaida
Shida ipo kwenye friji yenye baridi ya kawaida ,haina baridi kabsaa yaan haitoi baridi kabisa
Msaada tafathali
Shida ipo kwenye friji yenye baridi ya kawaida ,haina baridi kabsaa yaan haitoi baridi kabisa
Msaada tafathali