Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

salama wakuu? Kuna mkuu mmoja alipost thread kuhus kuexchange muviz. Namshukuru kwan ili weza kunikutanisha na jamaa flan natukaweza kuexchange. Mimi nina muvi lyk 428 kwenye my external...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wana JF Heshima mbele, I appreciate all Member in JF, Wakuu nataka kuwekeza Pale KEKO MACHUNGWA kwa anayejua nyumba inauzwa na bei gani chajuu nitampa. tuwasiliane hapa. nataka kujenga Hostel ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF naomba munisaidie, natafuta nyumba ya kununua au kiwanja kizuri maeneo ya Arusha mjini na katika viunga vyake. Nina 15ml kwa ajili ya kununua nyumba hiyo, (msinikebehi ndo uwezo wangu)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi Africana, Goig, samaki na the rest of Mbezi. Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa mwenye muvi latest naomba nicopy
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee wetu mpendwa Hemed Mmbaga amefariki dunia juzi hospital ya KCMC alikuwa akitibiwa ugonjwa wa moyo.Mzee Mbaga alikuwa mkuu wa magereza mkoa wa Arusha pia kati ya mwaka 1980 - 1985 alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima wakuu. Gari inauzwa Toyota Noah 2002 Silver KM-60000 Colour:Silver Insurance : comprehesive Ipo: haina tatizo. Jamaa alikuwa anataka kufanyia Biashara ya Harusi sasa ameamishwa kikazi...
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Vits inauzwa model ya 2001, imetembea km 100,000, ina mwaka toka isajiliwe iko ktk hali nzuri, bei 6.5 mil. Nyekundu. Anayehitaji kuiona anipigie namba 0656205308
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Landrover Free Lander Mileage 68,000miles only Engine is in immaculate Condition UK Import Model 2004 Owned and driven by a lady Driven in Urban/Town Roads only Car is in Dar Bei ni Tshs.14...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1200 sq.meters, with clean papers. Price Tshs 130mil. CALL:+255 784 225 000
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hi wandugu, Naomba kuulizia ,Ninataka kusafirisha vitu vyangu hapa USA kuvileta Arusha nyumbani kama kuna mtu ambaye ameshawahi kusafirisha container kutoka hapa USA to Mombasa Kenya alitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIWANJA VIZURI VIKO MBEZI LUIS 20*20 1.5Mil, 22*24 2Mil, 25*35 3Mil. (CALL 0718334726)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iphone 3GS 16GB Unlocked inapatikana Arusha kwa 550,000/=..ilianguka na kuweka Crack kwenye Screen kama inavyoonekana kwenye picha. Touch Sensitivity bado ipo vizuri na simu inafanya kazi kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba msaada wetu, naomba mnijulishe kuhusiana na mashirika yanayokodisha magari (nataka gari la kukodi) kwa Dar es Salaam. Nitafurahi kama mtanijulisha na gharama zao zilivyo kwa siku...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wana JF natafuta nyumba ya kunua Dar maeneo ya Magomeni mikumi, kagera au mapipa, naomba msaada wenu hata kama ni nyumba chakafu nimepata visenti kidogo, je naweza kupata nyumba maeneo hayo kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wapendwa kwa bahati mbaya nilipoteza laptop ya ofisini, nahitaji laptop aina ya Samsung 2 GB, used size ya kati sio mjuzi sana kwenye screen size, mwenye nayo naomba anipigie 0656205308.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
840 sq.meters. Price Tshs 16mil. CALL:+255 784 225 000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimepigiwa simu na mtu namba zake ni za Airtel katika kuongea kaaza kunitukana sasa ninataka kujua huyu mtu ni nani nitumie njia gani kumpata
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wadau nisaidieni, naomba kama mwenye details zozote kuhusu hili, nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala (kimoja kikiwa self contained itapendezazaidi), sebule kubwa ya kutosha, na stoo. pia kama meter...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati na salamu za sikukuu ndugu wanajukwaa la jamii, Tunayofuraha sana kujitambulisha kwenu na kwa umma wa watanzania waishio ndani na nje ya mipaka yetu ya kijiografia, Darproperty...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom