Natafuta Nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Nyumba ya kupanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jackiedmos, Apr 30, 2011.

 1. j

  jackiedmos New Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Mbezi Africana, Goig, samaki na the rest of Mbezi. Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining na jiko.

  Offer ni 300,000 maximum.

  thanks
   
 2. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Maeneo ya Mbezi kupata nyumba yenye sifa hizi: (Iwe nyumba ya kujitegemea(si ya kushea) Vyumba 2 hadi vitatu, Maji muhimu, parking. master, sebule, dining na jiko) ni jambo gumu kama lile la ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Nimeambatanisha picha za apartment ya chumba, sebure, jiko ambayo ni ya kushare ambayo bei yake ni shs 250,000/=. Pia nimeambatanisha nimeambatanisha sifa ya nyumba uanyohihitaji ambayo bei yake ni USD 1000. ongeza pesa ifikie at least 550,000 nikupatie nyumba hapo mbezi. anyway unaweza kupata kwa muujiza :welcome:
   

  Attached Files:

 3. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ingekua kimara resort ningekupatia nyumba yenye sifa hizo kwa bei hiyo
   
Loading...