Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

-Nauza Plots -Kibaha, Zegeleni. ziko Mbilil, zimeungana kilometa 7 kutoka lami(Kituo cha Madafu).zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara...
1 Reactions
4 Replies
81 Views
Kiwanja kinauzwa Kimara Mwisho Njia ya kwenda King'ong'o Kina SQM 1900[ 38 x 50 ] Kipo sehemu nzuri sana Bei milioni 75 Maongezi yapo 0675 065906
2 Reactions
17 Replies
172 Views
Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye...
2 Reactions
176 Replies
11K Views
Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha Maili Moja Karibu na Nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili, moja Ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina...
1 Reactions
7 Replies
149 Views
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga...
0 Reactions
7 Replies
519 Views
Kiwanja kipo Kimara Temboni Barabara ya kwenda Matosa Ukubwa ni square meter 1,200 Bei ni sh. 100,000,000/= (Milioni mia moja) Maongezi yapo kwa mteja serious Kipo jirani na Kanisa katoliki...
0 Reactions
20 Replies
320 Views
Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye. Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so...
4 Reactions
27 Replies
474 Views
Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Viwanja vinapatikana kama ramani hii inavyoonyesha. Kama unavyoona, ni viwanja vichache tu. Bei ni shs 40,000 kwa Square metre. Kwa mawasiliano zaidi piga/sms number 0678-868860.
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Ofa! Kubwa ya viwanja kiluvya 1. Kiluvya Gogoni Sqm 1200 ~ mln 40 umbali mita. 400 kutoka morogoro road 2. Sqm 800~mln 18 umbali km 1.5 kutoka morogoro road 3. Kiluvya kwa komba Sqm 800~mln 14...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Kiwanja kinauzwa Kimara mwisho Millenia Ni mkono wa kushoto ukiwa unatoka ubungo Kiwanja kina mita 20×16, kipo sehemu tambarare. Kinapakana barabara ya mtaa. Unaweza kujenga fremu za biashara. Bei...
0 Reactions
13 Replies
409 Views
Habari wandugu, kiwanja cha makazi kinauzwa kipo mjini Dodoma, ntyuka mtaa wa chimala. Kimepimwa Kina ukubwa wa Square meter 408, kipo Karibu na barabara pia nguzo ya umeme ipo pembeni ya kiwanja...
0 Reactions
6 Replies
216 Views
Unatembea dakika 25 tu hadi kiwanjani au pikipiki 1000 tu! Kina ukubwa wa 40*20. Bei ni tsh 14.5m. Documents: Sales agreement. Kama unahitaji kiwanja Kibamba. Vipo vingine vingi tunauza...
0 Reactions
5 Replies
303 Views
Kiwanja kipo Mabwepande 500 SQM’s Bei: 12M Kipo Karibu na Barabara kabisa. Hakina changamoto yoyote.
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2 Km 1 kutoka barabara kuu. ukubwa ni 20 kwa 20 Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo) Hakuna dalali ni changu mwenyewe...
2 Reactions
6 Replies
370 Views
Karibu kwenye ukulasa wa Dovillen Property. Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH...
4 Reactions
3K Replies
226K Views
Nauza kiwanja bei 4M ukubwa 60*15 Eneo Fumagila/Nyamagana/Mwanza Maji Yamefika Umeme umepita Barabara zipo Hakijapimwa Contact Dm au ukihitaji nakucheki
0 Reactions
7 Replies
479 Views
Lete hela ujishindie kiwanja cha ofa! Umeme upo. maji yapo. Eneo Wilaya ya Nyamagana (Jiji) Kata Fumagira Ikumbukwe hamna bei kama hii maeneo haya.
3 Reactions
12 Replies
319 Views
SITE IKO BAGAMOYO FUKAYOSI Hii site ina viwanja 26 (Sqmt: 9,720) vimepimwa. Kituo: Mnadani kwa Sokwe, Unaingia kulia kama unatoka Dar. Km 1.5 kutoka Main road Bei: Milioni 40 (site yote) 0712787939
0 Reactions
14 Replies
523 Views
Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar Kiwengwa, kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea. Kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakini pia kwa biashara Nauza...
2 Reactions
12 Replies
437 Views
Back
Top Bottom