natafuta nyumba ya kununua au kiwanja maeneo ya arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta nyumba ya kununua au kiwanja maeneo ya arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mdau wetu, Apr 30, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba munisaidie, natafuta nyumba ya kununua au kiwanja kizuri maeneo ya Arusha mjini na katika viunga vyake. Nina 15ml kwa ajili ya kununua nyumba hiyo, (msinikebehi ndo uwezo wangu). Kiwanja n itategemea kiko sehemu gani Arusha. msaada wenu wakuu.
   
 2. j

  jerry monny Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo budget ndugu yangu kwa arusha ni kiwanja tu.hakuna nyumba ya hiyo hela.nitafute ukifika nikupe full maujanja nini cha kufanya.
   
 3. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Na kiwanja kitakuwa sweken na siyo mjini kama unavyofikiria, labda Matejo au Unga ltd
   
Loading...