natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo karibu na shekilango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya ubungo karibu na shekilango

Discussion in 'Matangazo madogo' started by wapalepale, Apr 28, 2011.

 1. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  wadau nisaidieni, naomba kama mwenye details zozote kuhusu hili, nyumba iwe na vyumba 2 vya kulala (kimoja kikiwa self contained itapendezazaidi), sebule kubwa ya kutosha, na stoo. pia kama meter iwe yangu mwenyewe
   
Loading...