Vits inauzwa 2001 model

kanyampaog

Member
Apr 25, 2011
11
2
Vits inauzwa model ya 2001, imetembea km 100,000, ina mwaka toka isajiliwe iko ktk hali nzuri, bei 6.5 mil. Nyekundu. Anayehitaji kuiona anipigie namba 0656205308
 
dah, mamaa, iyo bei unaua bendi... Shusha kidogo, vitz cku izi za miaka iyo zinaenda 4-5m unapata... Shusha kdgo probably ungeweza kuvutia bizness zaidi
 
Wewe ukanunue huko kwa Million 4...........Huwezi pata VItz ya 2001 kwa million 4 hata 5.............
Na starlet utanunua sh ngapi? labda kama imetumika saana na ina serious problesms.........

mbona unapigiwa hupokei? Kuna mteja nimekuunganisha naye namba yake inaishia 4455; anasema anakupigia hupokei, yuko serious, kama uko Dsm leo mnaweza kumalizana.
 
bora umenisaidia
 
nimepokea 2meshaongea nilikuwa busy kdg sory.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom