Movie exchange

Movie exchange

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,132
salama wakuu? Kuna mkuu mmoja alipost thread kuhus kuexchange muviz. Namshukuru kwan ili weza kunikutanisha na jamaa flan natukaweza kuexchange. Mimi nina muvi lyk 428 kwenye my external hardisk,ningependa kuexchange na mutu ambaye yuko willing na ni muvi fanatic kama mimi
 
Nitakutafuta.. Ila, nije na externa yenye Gb ngapi ili niweze kuzichukua Movies ulizo nazo?
Za kwangu, andaa 1.3 Tb
 
mkuu loliondo na mi ni mpenz mkubwa wa muvi,nimekua nikiazima sana library,nakuomba mkuu nipate hata gb 5 ili na mi nianze kukusanya zangu. God bless u
 
mkuu loliondo na mi ni mpenz mkubwa wa muvi,nimekua nikiazima sana library,nakuomba mkuu nipate hata gb 5 ili na mi nianze kukusanya zangu. God bless u
Duh! 5Gb si muvimbili tu mkuu!...au zile zenye qualityya chini 700mb muvi 7tu!
 
nna flash disk ya 8 gb ambayo ntanyonya na kuhamishia ktk computer yangu, ila tayari nimemwagiza mtu externa hard disk ambayo ntaweka library yangu.pls mkuu hebu cheki inakuwaje.
 
Nitakutafuta.. Ila, nije na externa yenye Gb ngapi ili niweze kuzichukua Movies ulizo nazo?
Za kwangu, andaa 1.3 Tb

1.3TB, dah' hizo movie zipo 1,500 nn maana nina about 360 movie's zina weight ya 320GB!!
:hat:
 
1.3TB, dah' hizo movie zipo 1,500 nn maana nina about 360 movie's zina weight ya 320GB!!
:hat:

Idadi kamili sifahamu, ila zipo zaidi ya 800 mkuu,, nyingine ni zile nimekopi direct kutoka kwenye DVD, zinakula sana space muvi za hivyo.
 
wakuu tuazimane bas,kwa alie tayar plz pm me napatikana posta simba road pale wanapaita Nbc club karib na imalaseko
 
salama wakuu? Kuna mkuu mmoja alipost thread kuhus kuexchange muviz. Namshukuru kwan ili weza kunikutanisha na jamaa flan natukaweza kuexchange. Mimi nina muvi lyk 428 kwenye my external hardisk,ningependa kuexchange na mutu ambaye yuko willing na ni muvi fanatic kama mimi

naomba mkuu tuwasiliane,mimi ninazo muvi zaidi ya 10,ila nina free space ya kama 288gb katika external hard disk.
 
MwL sasa mbona hujasema ni movie za genre gani???Maana mtu anaependa comedy akija akakuta we ni wa sci-fi au action tu haitakua poa!!
 
kwa mfano harddisk ya zaidi ya 1000 GB zipo kweli madukani na inaweza kuwa kiasi gani labda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom