Natafuta nyumba ya kununua magomeni mapipa, mikumi, kagera Dar

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Wana JF natafuta nyumba ya kunua Dar maeneo ya Magomeni mikumi, kagera au mapipa, naomba msaada wenu hata kama ni nyumba chakafu nimepata visenti kidogo, je naweza kupata nyumba maeneo hayo kwa milioni 40?naomba nisaidieni kabla sijavila visenti vyangu hivi
 
Ndugu sahau kwa hiyo 40m!!!sasa hv nyumba pale magomeni ya chini kabisa ni tshs 250m to ths 400m kama uko nguvu fika tuuu pale LANGO LA jiji utapewa breaking News za nyumba zinazouzwa na bei zake kuanzia ujifanye huna haja ya kununua bali unataka mtafutia jamaa yako
 
Nyumba ipo Barabarani Magomeni Mapipa bei milioni 80 kama upo tayari Mpigie mwenye nayo +255784669533. Maongezi hakuna walishakuja na Milioni 78 Jamaa akakataaa. na changu cha juu uweke ok mkuu ndio kazi kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom