iwe gari nzuri tu like, toyota camry, corolla, corona na kadhalika, nakusudia gari nzuri yenye hadhi na heshima. Nitaitumia kwa dar tu nitapenda kulipa kwa siku au kwa wiki au tupatane kwa mwezi kwani nitaitumia kwa muda wa mwezi mmoja. Dereva juu yangu. Nitafurahi kama utanijuza kama kuna mashirika kama hayo hapo dar kwani kwa miaka mingi nipo nje.
Wana JF naomba msaada wetu, naomba mnijulishe kuhusiana na mashirika yanayokodisha magari (nataka gari la kukodi) kwa Dar es Salaam. Nitafurahi kama mtanijulisha na gharama zao zilivyo kwa siku, bila dereva
WAKUBWA SAMAHANI.......kuna mtu amewahi kuibiwa au kutapeliwa gari?
WATCH OUT MTU ATALIA MDA SI MREFU