DarProperty Yajitambulisha Jukwaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DarProperty Yajitambulisha Jukwaani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by DarProperty Tz, Apr 25, 2011.

 1. DarProperty Tz

  DarProperty Tz Verified User

  #1
  Apr 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 167
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari za wakati na salamu za sikukuu ndugu wanajukwaa la jamii,

  Tunayofuraha sana kujitambulisha kwenu na kwa umma wa watanzania waishio ndani na nje ya mipaka yetu ya kijiografia, Darproperty ni mradi uliobuniwa na vijana wakitanzania kwa lengo mahsusi la kuratibu na kurahisisha mfumo soko wa mali hapa kwetu Tanzania (property market) kama vile mashamba, , maghala, viwanja na majumba yanayouzwa na kukodishwa. Tunasaidia kutangaza mali hizo ili kuwarahisishia watumiaji wetu kupata mali hizo au wateja kwa haraka, pia tunatoa taarifa mbalimbali kuhusu soko tajwa.

  Huduma zetu zimekwisha wanufaisha mamia ya watanzania na wageni mbalimbali katika kufanikisha kupata bidhaa/wateja hizo kiurahisi.
  Darproperty tayari imesajiliwa na wakala wa makapuni (BRELA), ina leseni toka wizara ya viwanda na biashara, pia inayo nambari ya mlipakodi (TIN) toka TRA.

  Tayari DarProperty imetoa ajira za kudumu kwa vijana wa kitanzania wenye taaluma mbalimbali kama vile uchumi, masoko, uhasibu, programming, graphic designers na uratibu wa biashara.


  Darproperty
  imekuwa ikifanya shughuli zake kwa njia ya mtandao (e-marketing) kwa takribani miaka miwili (2) baada ya mafanikio hayo sasa DarProperty itakuwa ikichapisha jarida liitwalo The Darproperty litakalokuwa linatoka kila mwezi.


  Kupitia jukwaa hili tunatazamia kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa watu wenye mawazo mapana juu ya jinsi ya kuboresha huduma zetu na pia kupata watumiaji wapya wa huduma zetu.


  Bei za huduma zetu ni shindani SANA huku maboresho yakifanywa kila siku.


  Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu.
  www.darproperty.net pia tupo facebook kwa jina Darproperty, ukiona ukurasa wetu ni wa manufaa unaweza kubofya" LIKE"


  Au piga simu nambari +255 22 2461447 / 0784238962.


  Tunatanguliza shukrani.

  imetolewa na

  DARPOPERTY TEAM
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  nashukuru nitaenda kujionea huu mtandao wenu
   
 3. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Congratulations, Keep update us for services and hizo information
   
Loading...