Toyota noah 2002 inauzwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
10.jpg 9.jpg 8.jpg
7.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg 6.jpg

Heshima wakuu.
Gari inauzwa Toyota Noah 2002 Silver
KM-60000
Colour:Silver
Insurance : comprehesive
Ipo: haina tatizo.
Jamaa alikuwa anataka kufanyia Biashara ya Harusi sasa ameamishwa kikazi anakwenda Kigoma. Bei ya kuanzia 19-Milioni. Agenti anatakiwa ili iuzwe haraka Garanteee miaka yote tokea ununue kuandikishiana mahakamani.
Wahi ofa hii haraka
email:masgtz@yahoo.com au namba ya simu +255784669533
 
Heshima mbele Mods Ombi peleka kwenye Jukwaaa la matangazo nimekosea mkuu

tafadhali mkuu
 
Wakuu vipi au humu ndani watu tunauza sura tu. Yaani hakuna mwenye kuhitaji hiii?????????
 
hizo gari zimeshuka bei san,sisi a-town tunabebea abiria,shusha bei mkuu!!!!
 
Kwanza hizo picha ni mchanganyiko wa possibly Japan na Tanzania. Halafu mbona haijasajiliwa? Ulivyoinunua ilikuwa na km ngapi na hapa Bongo imetembea km ngapi? wakati unainunua ilikuwa na grade gani ndani na nje na overall grade? Ulinunua Middle East or Far East - Japan au show room hapa Bongo? Spareparts zake zinapatikana TOYOTA Motors?

Hivi huko Kigoma hawafungi harusi na kufanya sherehe?
 
Hizo Picha ndio Zenyewe kabisa unachotakiwa wewe kuuliza KM 60000 na ipo nimeiweka ndani kwani nimeisajili na mimi mwenyewe nipo nje ya Nchi, kwahiyo atakayetaka anitafute tu nitampa COntact za jamaa ampe. Pia nimeilipia COmprehesive.haijatembea nimeipaki kwani mimi sipo Tanzania.karibuni
 
mi najua bei ya noah ni milioni 12...

na hapa nilipo nina milion 10

kama vipi nichek
 
Hizo Picha ndio Zenyewe kabisa unachotakiwa wewe kuuliza KM 60000 na ipo nimeiweka ndani kwani nimeisajili na mimi mwenyewe nipo nje ya Nchi, kwahiyo atakayetaka anitafute tu nitampa COntact za jamaa ampe. Pia nimeilipia COmprehesive.haijatembea nimeipaki kwani mimi sipo Tanzania.karibuni
mkuu hiyo bei hapana....

jaribu kufanya research zako hata kwa kumtumia huyo jamaa.......

noah kama yako ni milion 10 tu........

ukiuza hiyo bei halafu HURRIER LEXUS iuzweje sasa mkuu?
 
Hapo penye Nyekundu hata ya mwaka 2001 hauzwi kwa bei hiyo fanya Research uone nilikujaga Tanzania nikatembea YArd zote bei zao zinaanzia milioni 16 mpaka 14M hii ya mwaka 2001 na hii ya mwaka 2002 New Model ilianzia milioni 22 mpaka 18M sasa wewe ulienda yard gani au umenunua kwa mtu au unataka kununua kwa mtu? nimekwambia Gari yangu imeingia na mimi bado hata kuendesha. au unataka niiweke Yard ununue kwa Milioni 22??? Acha bana Dharau katika Biashara. Tunachoangalia ni Ubora wa Gari na KM chache au wewe unataka kununua gari Km 200,000 kwa milioni 10 sasa hapo si wamekwiba pesa yako wewe ukitaka kuchagua gari angalia Km zisizidi laki moja hiyo gari mkataba miaka 5 ndio uende services. Siuzii shida mkuu. Unayo nunua Huna Ipotezeee. Tena nakushauri uingie www.prosper.com uwaulizie kuhusu mimi wananijua na pia ni mteja wao wa siku nyingi. na uangalie magari yao kisha uje na details hapa. Asante.
 
Hapo pekundu ni uongo.
Yard kwetu Mwenge hukufika.
 
bei ipo juu sana mkuu! Kama nilivyokwambia me nnayo arusha ya mwaka 2000 niliagiza japan mwaka jana ina 820000 km kwa 11milion,nabebea abiria!
 
Hapo kwenye nyekundu vipi? Kilomita laki nane? Hata bure sichukui
 
bei ipo juu sana mkuu! Kama nilivyokwambia me nnayo arusha ya mwaka 2000 niliagiza japan mwaka jana ina 820000 km kwa 11milion,nabebea abiria!

Kumbe wewe OSSY Hutumiii Akili ndugu yangu please tumia kidogo akili penye Blue yako ya mwaka 2000 yangu ya mwaka 2002 na aina tofauti kabisa angalia picha hizi noah za 2002 ndio zimeanza kutengezwa mpaka mwaka 2010 sasa wewe unajichanganya alafu penye nyekundu kilomita zote hizo nakushauri upeleke TBS kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom